
Jackline Wolper ni mwigizaji kutoka
bongo movie ambaye August 6 2015 alipost picha ya Ali Kiba na Diamond wakionekana pamoja kwenye foleni ya chakula kwenye party iliyofanyika ya kumuaga Rais Kikwete Mlimani City Dar es salaam.
Baada ya kuiweka hiyo picha hapo juu aliandika >>> ‘ Sasa nyie endeleeni kugombanisha watu wanaojuana namsiojua walipotoka haya sasa mwanzo ndo ule kati mlizusha mwisho mnapajua???? waacheni jamani…. Mungu atapanga mwenyewe watag namuonge chochote chenye kujenga syo kubomoa # one love

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni