
Kuna mama alimchukua mtoto wa jirani yake
kutoka kijijini kwao Dodoma na kuja nae Dar es salaam akiahidi kumsomesha kama alivyoahidi kwa wazazi wa mtoto huyo.
Mtoto huyo mwenye miaka tisa baada ya kufika Dar alianza kufanya kazi zinazomzidi umri ikiwa kuchata maji kila siku pamoja na kaumshwa usiku kufanya usafi.
Team ya Hekaheka ilipata atarifa na kuamua kufunga safari hadi kwa mama huyo maeneo ya Mikocheni na kusimuliwa na majirani jinsi mtoto huyo alivyokuwa akifanya kazi bila kusomeshwa kama alivyoahidiwa.
Stori kamili isikilize hapa kwenye Hekaheka ya leo…8july
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni