
D’Banj amekuwa akilalamika
kwamba diamond amekuwa anamzungusha kufanya collabo.
Diamond akijitetea ktk kipindi cha 255 ya xxl Diamond Platnumz Funguka kwakusema “Tulikutana kule kwenye Do Agric tukafanya Cocoa na Chocolate, tukatakiwa kufanya nyimbo ya mimi na yeye lakini nikaogopa ukianza na msanii mkubwa sana itakuwa kurudi tena itakuwa tabu lazima uanze kwa ngazi kwa ngazi kwa ngazi ili kesho na kesho kutwa ukitoa nyimbo uonekane unazidi kupanda, sio unafanya nyimbo na mkubwa halafu kesho unashuka, nafikiri ndio ikawa sababu pia nyimbo yangu ya kwanza sikuweza kufanya na yeye ya kwanza.”.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni