Kcee na Diamond Platnumz
Diamond ameshafanya collabo nyingi na Wanigeria, Diamond ametangaza rasmi kusitisha kufanya Collabo na Wanigeria.
Akiongea na 255 ya XXL Diamond Platnuzm amesema:
"YES, nimefanya kazi nyingi na mastaa wengi na hiyo imeuweka muziki wa Hapa nyumbani tanzania mahali pazuri, kwa sasa collabo hizo zitasimama. kwa muda kidogo"
Pia ameongeza kuwa Collabo ya mwisho kuifanya kwa sasa ni yake na Kcee.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni