Jumatatu, 29 Juni 2015

Baada ya Ommy Dimpoz Kupost picha ya Ally Kiba Kwenye Instagram! Comments za watu zafanya ajibu hivi..




Katika Mtandao wa Instagram Ommy alipost picha ya Ally Kiba, Cheki post hapa Chini:


Ommy Dimpoz amekutana na Comment nyingi baada ya kupost picha ya Alikiba katika mtandao wa Instagram, huku Comment nyingine zikiwa na za zakumtukana.




Comment za watu zilimuudhi Ommy Dimpoz na akaamua kupost Video akisema:
"Sasa ndugu zangu tukipost kuhusu Wasanii wenzetu mnatukana, tukikaa kimya tuna roho mbaya…. tufanyeje?? matusi tu hamjali kama watu wana wazazi unamtukania mzazi mwingine kafa, lakini kwa taarifa yenu hainiumi ng’o"

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni