Jumanne, 16 Desemba 2014

Diamond na Ally Kiba Wamaliza Biffu Lao


Taasisi ya utoaji mikopo VICOBA TANZANIA imemaliza ugomvi kati ya msanii
Ali Kiba na Diamond na kuwaunganisha kua kitu kimoja na kutegemewa kufanya kazi kwa pamoja.

Uongozi wa vicoba umesema kua sababu ya kumaliza ugomvi wa Ali Kiba na Diamond ni kutaka kuwaweka pamoja ili waweze kufanya TANGAZO la pamoja kuhusu Taasisi hii ya utoaji mikopo kupitia mfuko wa Utoaji mikopo wa Online uitwao FOCUS VICOBA unaopatikana katika mtandao kupitia tovuti yao www.vicobatanzania.wapka.mobi kuanzia mwezi wa 12 Tangazo hilo litakua tayari na kuanza kurushwa katika vituo mbali mbali vya TV.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni